Swahili Course Lesson 3 + 4
During the last two Swahili lessons we focussed on reading dialogues to improve our articulation and learn to talk more fluently. These dialogues covered the situations “meet & greet”, “at the market”, “food”, “love / like” and the basics on on how tenses.
Here are some dialogues:
Bariki: Vipi Mzee
Aisack: Salama tu mzee
Bariki: Nipe habari! Mambo vipi.
Aisack: Mambo bomba tu. Vipi, za kazi?
Bariki: Shuari. Inatulia bwana.
Aisack: Safi. Mimi nakwenda shuleni bwana.
Bariki: Haya, kasome vizuri mzee.
Aisack: Issue sawa bwana. Tutaonana badaye.
Bariki: Haya, badaye.
P: Sema.
H: Bomba.
P: Inatulia je?
H: Ndyio hakuna noma bwana.
P: Upo?
H: Nipo.
P: Haya, bayaye
H: Badaye
Vene: Vipi, ulikuwa sokoni jana?
Vingi: Hapana, nilikuwa nyumbani.
Vene: Utakuwa sokoni leo?
Vingi: Hapana, leo nitakuwa nyumbani pia kufanya kazi.
Vene: Mimi nitakwenda sokoni kesho, je utakuja?
Vingi: Sawa, nitakuja.
Vene: Haya, kesho.
Vingi: Kesho, usiku mwema
Anna: Karibu Rafiki yangu.
Neema. Ahsante. Nafurahi. Njaa inaumwa.
Anna: Ndiyo. Umekuwa na kazi nyingi…
Neema: Ndyio, ni kweli.
Anna: Unapenda kinwaji gani?
Neema: Napenda soda.
Anna: Soda gani?
Neema: Naomba…..sprite.
Anna: Sina sprite, samahani.
Neema: Coka?
Anna: Hakuna.
Neema: Sawa, nipe fanta.
Anna: Karibu.
Neema: Unapenda chakula gani?
Anna: Umepika nini?
Neema: Chakula unachopenda.
Anna: Je umepika Pilao?
Neema: Ndyio. Kweli. Karibu Pilao.
Anna: Ahsante.
C: Unajua Kiswahili?
B: Kidogokidogo.
C: Hamna Shida. Utajua badaye.
B: Ndyio najifunza Kiswahili.
C: Unajitahidi sana, hongera.
Swahili Course Lesson 3 + 4
was published on 26.03.2009 by admin. It files under east africa
You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0 feed.